Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote. Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu. Lakini kitendo cha kufuata itikadi mnayohusudu huku mkihusisha taasisi za soka ambazo nyie ni Wasemaji mnatafuta sifa upande mmoja huku mkibomoa upande wa pili.
Hakuna anayewazuia kupenda siasa na kushabikia siasa, lakini kuzinasibisha Simba na Yanga direct Kwa maneno yanayotoka vinywani mwenu mmetengeneza Bomu litakalowala nyie wenyewe, tuko hapa tusubiri muda.
Wasemaji wa Simba wamekua wasemaji wa CCM kwa hio ukiipenda Simba inabidi uipende na CCMMzee, ungeeleza vizuri hayo yaliyosemwa maana sio kila mtu kafatilia huko
Hapo wanazingua kweli,Wasemaji wa Simba wamekua wasemaji wa CCM kwa hio ukiipenda Simba inabidi uipende na CCM
Uko sahihi kabisa ndugu yani nchi hii watu wanapiga kelele siku mbili ya tatu washasahau wanabishana kula kimasiharaunawaongelea wtz wepi? hawa wanaopelekwa kwa upepo wa matukio, hilo nalo litapita kama ambavo la ex rc na mlawitiwa linavoelekea kupita
Hapana hapaa. Akili za kuambiwa ongeza na zakoWasemaji wa Simba wamekua wasemaji wa CCM kwa hio ukiipenda Simba inabidi uipende na CCM
Sijawelewa anaongezea nini.wengine hata huko kwa mkoa hatupajui.unatakiwa uwe direct to the point.Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote. Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu. Lakini kitendo cha kufuata itikadi mnayohusudu huku mkihusisha taasisi za soka ambazo nyie ni Wasemaji mnatafuta sifa upande mmoja huku mkibomoa upande wa pili.
Hakuna anayewazuia kupenda siasa na kushabikia siasa, lakini kuzinasibisha Simba na Yanga direct Kwa maneno yanayotoka vinywani mwenu mmetengeneza Bomu litakalowala nyie wenyewe, tuko hapa tusubiri muda.