Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Limezuka wimbi katika miaka ya karibuni vilabu vyetu vimekua na wasemaji yaan spokesperson/spokesman kawaida.
Swali la kujiuliza je, wanasaidia kukuza soka letu la bongo au wanadidimiza ?
Niweke wazi sipo hapa kupinga uwepo wa wasemaji katika vilabu bali kwa maoni yangu naona wengi wao hawajui majukumu/wajibu wao na wanadidimiza soka letu.
Yani overall club issues lakini kutokuvuka mipaka, mfano mambo technical kama ya coach/ wachezaji etc.
Sasa kwakuwa sisi hatuna press conference pre/post match, basi wao wanachukua hiyo nafasi na ndio maana wanaendesha soka kiswahili sana na wana influence kubwa sababu wanajiundia kama signature purpose.
Hivyo kwetu ambapo sio Pro league ingawa tunatamani tuwe hivyo, wanachukua nafasi ya kila kitu kinachotakiwa kuzungumzwa kuanzia bodi ya uongozi wa club mpaka coach, wachezaji na hata wanachama mara nyingine.
Na wana influence kubwa since wanaunganisha washabiki wao na media (Radio/TV)...
Leo hii watu wanamfahamu Thobias kifaru Ligalabwige, Haji Manara, Desmas Ten(mrithi wa Jerry Muro), kuna Anwar Binde wa KMC, kuna Gharibu Mgomi wa Reha Fc,
Msemaji wa timu anaweza kutoa taarifa ambayo ilipaswa kutolewa na kocha wa timu au manager wa timu husika, unajiuliza kulikoni,???
Tatizo letu watz wapenda soka tunapenda maneno na tambo zao, tunapenda kusikia wamchangani, Wakimataifa, mbwinde fc n.k bila ya kujua kwamba hayo mambo yadumaza soka letu...
Leo hii tujiulize katika vilabu vikubwa duniani kama Real Madrid, Barcelona, Manchester United, Arsenal, Juventus, Bayern Munich, kuna msemaji wa timu unayemfahamu katika hivyo vilabu? Au ulaya mbali hapa hapa Afrika kuna Tp mazembe, Mamalod sundown, Ismalia, Enyimba, kuna msemaji wa timu unamfahamu katika vilabu hivyo?
Soka letu bado changa sana na tuna safari ndefu ya kulikuza, kwanza mpaka sasa ligi yetu haijapata udhamini, kukosa wadhamini inaonyesha ligi yetu sio brand inayouzika, hata kama tunalalamika hali ngumu lakini hiyo haitoshi ligi kukosa mdhamini,
timu shiriki kwa sasa ziko 20, kupanda timu 6 kwa wakati mmoja yalikua na madhaifu ya TFF ambayo hayaishi kila uchao
Najaribu kujiuliza kulikua na haraka gani ya kutoka timu 16 mpaka timu 20, kwanini tusingeanza na timu 18 kwanza then tukajua mwelekeo wetu upoje????
Leo hii German ligi yao ina timu 18 tuu na ni among the best top 5 league in the world.....kwahiyo Tz tumewazidi German kuanzia miundombinu, Viwanja n.k
Napenda kutumia muda kujifunza kitu lakini siwezi kuvumilia madudu yakitokea.
Especially mimi na suala la wasemaji imekua shida sana tanzania.
Wanaua soka, wanapendwa na washabiki wa kabumbu.
Nawasilisha....
Weka maoni yako hapa