Wasemaji wa vilabu vya Soka wasiwe wanazungumzia masuala ya kiufundi ambayo wengi hawayajui

Wasemaji wa vilabu vya Soka wasiwe wanazungumzia masuala ya kiufundi ambayo wengi hawayajui

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Hivi hakuna uwezekano makocha au benchi la ufundi pekee likawa linahusika kutoa taarifa za kiufundi kuhusu timu zao Kwani wao ndio wataalam wa hayo mambo.

Hawa wasemaji ni Tambo tu unakuta hata kikosi kitakachoanza katika mechi husika hakifahamu. Utasikia wapinzani wajiandae kukutana na PIRA...........

Mara kile kipigo cha raundi ya Kwanza kinawarudia tena na maneno mengi ambayo hayaendani na uhalisia wa Soka.
 
Hivi hakuna uwezekano makocha au benchi la ufundi pekee likawa linahusika kutoa taarifa za kiufundi kuhusu timu zao Kwani wao ndio wataalam wa hayo mambo.
Hawa wasemaji ni Tambo tu unakuta hata kikosi kitakachoanza katika mechi husika hakifahamu. Utasikia wapinzani wajiandae kukutana na PIRA........... mara kile kipigo cha raundi ya Kwanza kinawarudia tena na maneno mengi ambayo hayaendani na uhalisia wa Soka.
Hii ndiyo Tanzania yetu
 
Back
Top Bottom