I don't see logic in your argument/report or whatever you may call.
Who the hell are wazee wa Simba na Yanga?
Kaa ujiulize sababu za timu ndogo kushindwa ku-prosper hata baada ya kuonesha mafanikio makubwa.
Wachezaji wote Tukuyu Stars walihamia Simba na Yanga baada ya kuchukua ubingwa back in time, Azam wamewaonesha Yanga mfano,
walimtaka tena Mrisho Ngassa, Azama wakasema sawa, kama mnazo 150M hakuna tatizo.
Twende taratibu,
Moro United nayo iling'aa kipindi fulani, lakini viongozi wake walikuwa pro-Simba, timu ikafa kibudu. Timu nyingine huwa zinahongwa ili zijitoe kwenye mbio za ubingwa, that will never happen to Azam bro.
Sababu nyingine ni timu kutegemea wafadhili na kukosa vyanzo thabiti vya mapato, njaa za wachezaji ambayo hupelekea kuuza mechi, Azam ilishatoka huko zamani sana.
Mwisho, zengwe likizidi sana, mahakama za soka zipo,
tumeona jinsi Yanga ilivyoshindwa kwenye saga la John Njoroge, haki haina cha wazee wa wapi sijui katika FIFA's point of view...
I beg to differ with you!