Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Wasemavyo watu huko Instagram kuhusu Diamond Platinumz

Mchiwa Ng'ambaku

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
959
Reaction score
803
Kweli show ya Mwanza ya Diamond imewapa watu wengi homa!

View attachment 254384

------------------

MASSANJA MKANDAMIZAJI
attachment.php


LE-MUTUZ
attachment.php


JENNISTA BLOG
attachment.php


LINAH SANGA
attachment.php


DIDA :-

attachment.php
 

Attachments

  • masanja.png
    masanja.png
    57.7 KB · Views: 636
Huyu jamaa alipiga wimbo gani ukapata mapokezi mazuri a nijuze coz hiyo courage ya kujiita mwanamuziki sijui kaitoa wapi !
 
Anatafuta pakutokea baada ya kujitengenezea tunzo..
 
Kuna juhudi kubwa sana ya kupinga mafanikio ya Chibu inafanywa na watu kama hawa

Huyu alianza kudai Chibu kamuibia lisongi lake la kulewa

London nako alikodi watu? White party nayo alikodi watu? Rwanda alikodi watu? Mombasa alikodi watu?

Haya mambo mbona ni marudio tu, walikuwepo akina mr nice, saida karoli walikua wanajaza na kupokewa kama wafalme
Muacheni dogo bana huu ni wakati wake
 
huyu ni mpumbavu hana hoja ya msingi kifupi ni amefulia na anatafuta kiki...tuseme tu ukwel hata kama ni kununua mashabiki hbaba akienda mwanza uwanja hauwez fikisha mashabiki 300 huo ndo ukweli...basi chibu ananunua pia mashabiki huko ulaya....kuna mijitu inakera kwa kweli
 
Huyu jamaa anaakili za kitoto sana sijawah kuona alicho kiandika ni mipasho tu sijaona cha maana! na mda si mrefu atakuwa shoga!
 
Ukisikia wachawi ndo hawa. Hivi Chibu kawafanya nn mtoto wa watu hata haongei anapiga kazi zinazoonekana wazi wazi.

Sasa hakuna kitu wanaumia kama kukaa kwake kimya... Wanaangaika nae ila yeye hana muda nao ye bize na bizness zake, imagine wanavyotaabika mpaka wanakwambia dogo ana dharau.

Kizuri ni kwamba kila mtu sasa anaongea kuhusu Diamond.
 
Mmmh wivu tu,kwanza yeye ana kipi cha maana anachofanya iwe kwenye mziki au movie. Hiyo mimba anayoisema,ye ndo anamjua mwenye nayo? Wakati wanapeana alikuwashikia miguu hd anaropoka. Na yeye ana uhakika gn km hao watoto ni wake?
 
Naona wamemshambulia akaamua kuweka account yake private.
 
Nimefurahi ndio maana nimecheka.

Kama sisi zetu kupiga kura nyie mnatokwa povu, Kiba akishinda hadi JF mnaikimbia!

Alishinda kwa msaada wa makombo...bila hvyo sjui angekuwa wapi???

Any way congratu'' kwa kiba..


Mwanza ilikuwa salamu..tu ngoma ya 60+ hahaaaaa.....


Tumewaacha na tuzo zenuuu..
 
Ha haaaa h baba kashambuliwa huyo toka aposti utumbo wake hadi kaamua kuiweka pravite acc yake ya insta
 
Back
Top Bottom