Waseminaristi tukutane hapa

Waseminaristi tukutane hapa

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Habari Wana jamvi....

Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi nilisoma Nyegezi Seminary.....

Unakumbuka Nini katika maisha ya shule seminary....
 
Habari Wana jamvi....

Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi nilisoma Nyegezi Seminary.....

Unakumbuka Nini katika maisha ya shule seminary....
Naikumbuka sana Orchard na kuchunga Ng'ombe.
 
Bihawana Junior Seminary Dodoma sintosahau adhabu zao hususani ukidoji kwenda church
Adhabu za kulimia mirahaba zabibu.
Adhabu za kuchunga ng'ombe.
Pia sintosahau:-
Kwenda kanisani asubuhi na jioni, Kulazimishwa kuimba kwenye kwaya.
Kulazimishwa kuongea english muda wote form one tulikuwa tunapiga zetu broken english kama hatuna akili nzuri mradi tu kublock cha swahili speaker kisikupate .
Ila yalikuwa maisha flani so amazing
 
Morning prayers, Angelus, Benediction to the blessed sacrament, Joint mass pisi zikija hiyo siku unatafuta trouser kimodo una achana na bwanga.

Ligi za kuimba kwaya. Hapo baada ya evening prayers au rozari mnabaki kwa mazoezi ya kwaya. Siku yenu ya kuimba ikifika mnacheza kwa vibe na kelele sana.

Ligi za mpira kugombea Nguruwe, Hii ilikuwa mitanange ya patashika nguo kuchanika hasa zikikutana timu za Form 6 .Vs .Form 4. (O level Vs A level)

Mavuno day, Founders day, kuiba matunda orchard hasa ndizi na maparachichi kuyavundika domu siku za wali unatimba nayo Refectory(Dining hall)..

Misemo uchwara ya discipline is about order, Punctuality everywhere. Adhabu za kukomoana...😄😄
 
Back
Top Bottom