na akili ya mtanzania huwezi ifananisha na ya msenegal au mghana au mnaijeriaWenzetu siyo waoga kama huku .
Ni kweli. Lkn hofu yangu ni kwamba wasije kuwa wameondoa majivu wameleta moto.Bora wamepata mabadiliko kuliko kuendelea kutawaliwa na machama ya zamani yaliyoshehena majizi.
maafisa wa kijeshi watakua urusi saiv kudraft technique za military take over as soon as possible ๐Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapigia chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia ccm.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapo, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.
Bora hivyo, Ili mradi mabadiliko yapatikane.Ni kweli. Lkn hofu yangu ni kwamba wasije kuwa wameondoa majivu wameleta moto.
Kwann unasema hivyo mkuu? Yawezekana akawa kiongozi mzuri. Tumpe mudamaafisa wa kijeshi watakua urusi saiv kudraft technique za military take over as soon as possible ๐
kuna wazee wa kazi kule kambini, ambao hawaamini na hawawezi kukubali kuongozwa na kijana mdogo ivo, eti kabisa wanakapigia salute ako kajamaa๐คKwann unasema hivyo mkuu? Yawezekana akawa kiongozi mzuri. Tumpe muda
Kikubwa DUASenegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia ccm.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapo, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.
Sio kwa hawa naowajua. Huwajui Wa Senegal.kuna wazee wa kazi kule kambini, ambao hawaamini na hawawezi kukubali kuongozwa na kijana mdogo ivo, eti kabisa wanakapigia salute ako kajamaa๐ค
wanakalia timing tu ๐
rejea story ya mjeda mkuu mstaafu na wale jamaa waliochomolewa from the gov posts, mapema kabisa baada ya mama kuchukua kiti..
wenye imani kama zile wapo pia Senegal ๐
let's wait and see ๐Sio kwa hawa naowajua. Huwajui Wa Senegal.