Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Mimi ninataka kwaajili ya kucontrol security light na security cameras, electric fence and perimeter motion sensor.
 
Hiyo App ya smartphone inaitwaje? Au na yenyewe inauzwa?
 
Hiyo App ya smartphone inaitwaje? Au na yenyewe inauzwa?
App ni bure kabisa kama UTAHITAJI



link yake ndio iyo, but haitokua useful maana huna system set up
 
poa...ila matombo mnafika?
tunafika , tunaweza kuletea package + fundi (fees juu yako) au package tunatuma kwa basi na ukatafuta fundi (fundi sanifu wa umeme)
 
Kuna options 2

1. Tunatuma mwakilishi mmoja aje uko
-hapa uta incurr transport fees

2.Tunatuma System Package kwa njia ya basi
-Hapa utaitaji uwe na fundi wako (awe FUNDI SANIFU wa umeme- awe na diploma)
hiyo ya kwanza is the best....thanks
 

SAFI SANA
IDEA NI NZURI BUT VERY EXPENSIVE KULINGANA NA WATU ULIOWALENGA NA DHUMUNI HAPA NAONA MTEJA ANABANA MATUMIZI YA UMEME

NA USAWA HUU ATLEAST UNGEFANYA LAK2
 
SAFI SANA
IDEA NI NZURI BUT VERY EXPENSIVE KULINGANA NA WATU ULIOWALENGA NA DHUMUNI HAPA NAONA MTEJA ANABANA MATUMIZI YA UMEME

NA USAWA HUU ATLEAST UNGEFANYA LAK2
ni kweli unachokisema tupo katika mkakati wa kuleta package ya kati but ikumbukwe ni
Value For Pricing
 
je naweza kutumia kwa simu mbili mfano simu yangu na simu ya wife?na vipi simu ikipotea au kuibiwa inakuwaje hapo?
 
je naweza kutumia kwa simu mbili mfano simu yangu na simu ya wife?na vipi simu ikipotea au kuibiwa inakuwaje hapo?
Several members wanaweza kutumia by default ipo ivyo
ila kama unataka only authorized waweze access , kuna Setting preferences unaweka namba za watu watano(maximum)
kama utapoteza simu, utatumia swichi zako za ukutani, 2 way control to enhance flexibility
 
Hongera sana mkuu, naomba kujua hii project ni wazo lenu?!
Nimeipenda sana hii najua hata nikiwa sehemu mida ya wanga najua nyumbani pako salama
 
Hongera sana mkuu, naomba kujua hii project ni wazo lenu?!
Nimeipenda sana hii najua hata nikiwa sehemu mida ya wanga najua nyumbani pako salama
system iko renovated ukiachana na zilizopita ambazo zilikua crude, less rugged na cumbersome.

Hii iko flexible na versatile zaidi, kwa mfano uwashaji na uzimaji kwa kutumia Saa - Real Time Clocking System
Ni advancement iliyo changiwa na pande kuu mbili za fani za uhandisi umeme na computer

Tunaendeleza/tunakuza walipoishia.
 
Hongera sana mkuu. Natamani ATC na DIT waone huu uzi
 
Mbona vitu hivyo vimapatikana kirahisi kwenye mitandao - wanakuonyesha jinsi ya kuvifunga - bei zake ni rahisi kabisa!! Fanyeni vitu vya kuwasaidia Watanzania wenzenu na sio kupenda penda ku-rip off waswahili wenzenu kwa kuwa wako ignorant - mgekuwa mnavihunda nyinyi sawa lakini kila kitu kinatoka Uchina kwa bei ya kutupa kabisa - siwasemi vibaya ila mna justification gani ya kucharge watu laki nane?
 

Ahsante kwa maoni mkuu
Tutajitaidi kutengeneza package ya kati iwafikie watu wengi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…