Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bado kuna misukule ya marehemu 😀😀😀😀JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Inasikitisha sana mkuu 😂Kumbe bado kuna misukule ya marehemu 😀😀😀😀
Mm nauza moja 25000 nakutumia link ya kudownload ukishalipiaVPN hv huwa inapatikaje?!!!
Duh freebasic kumbe bado ipo tuu 😂 dah kitambo sanaNatumia freebasic hapa jf ni bure weka japo ka udokezo ili pakikucha nitafute vocha umbea niupate
Hapo umejiona wee mjanja sana yani.Kumbe bado kuna misukule ya marehemu 😀😀😀😀
Sawa sawaMm nauza moja 25000 nakutumia link ya kudownload ukishalipia
Mtu akishakufa na lake halipo duniani ndiyo maana kila kitu cha marehemu watu wanagawana kama nguo, mashamba, n.kHapo umejiona wee mjanja sana yani.
Mtu akiuliza kwa nia nzuri mfundishe kwania thabiti.Hapo ulipo hata robo ya mtumizi ya simu yako hiyo huyajui ndio maana kuna app humo kwenye simu hujawahi hata kuzitumia na pengine hata kujua maana yakeMtu akishakufa na lake halipo duniani ndiyo maana kila kitu cha marehemu watu wanagawana kama nguo, mashamba, n.k
Ile dhana ya angekuwepo marehemu ni kuwa na uwezo mdogo wa kufikiria
Kuna Nini Tena mkuu,Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
Au yanga kushinda?Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
Tuwashe VPN kuna nini unataka kutuambia usituambie hapa, au hauiamini JF siku hizi kama wengine?Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
Una ujinga gani wa kutuambia?Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN