William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Pale panya anapobanwa mlangoni anashindwa kutoa sauti anabaki anatapatapa, mikia mnamatatizo kweli.Piga ua Tumlete Mgunda
Kwa hiki kikosi kilivyo hakuna kocha mwenye akili timamu mzuri kutoka Nje anaweza kukiongoza kikosi hiki.
Piga Ua Tumlete Mgunda
Mo alimtaka sana mgunda ila Wajumbe wa bodi hawakumtaka.
Kila kocha mgeni Wajumbe wanapiga ela za mkataba.
Jamani Tunamtaka Mgunda.
Twende na Mabango.
Hatumtaki Matola, Mangungu na Moroko.
Timu ni yetu sio ya mangungu na wajumbe wa bodi.
Lazima tuchukue hatua
Hata toboa maana viongozi wa simba wachawi kwao ni madili tuPiga ua Tumlete Mgunda