Washabiki wa Arsenal FC, mambo yanazidi kuwa mabaya, Man City kuweka dau la kumtaka Alexis Sanchez hivi karibuni.

Washabiki wa Arsenal FC, mambo yanazidi kuwa mabaya, Man City kuweka dau la kumtaka Alexis Sanchez hivi karibuni.

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Manchester City inategemewa kuweka dau la mchezaji tegemezibwa Arsenal Fc muda wowote. Man City inasemekana wanamtaka Sanchez na watawapa Arsenal Raheem Sterling na dau kidogo! Pia inasemekana nae Sanchez amekuwa akisisitiza kuwa anataka kuondoka Arsenal.
Arsenal inarudi tena kwenye selling club kama watakubali kumuuza Sanchez!
Kwa kweli kama kocha na wachezaji wenzake hawaonyeshi bidio yoyote na kuwa kama an average team, wachezaji wazuri wana haki ya kutaka kuondoka.

Source: SkySports.com
 
mchezaji tegemezi ndiye yupi?unamaanusha nini?mi najua tanzania ni tegemezi kwa wahisani,huyo sanchez ni tegemezi kwa nani!?hata hivyo arsenal wamwache aende,siyo team player,hucheza kivyake,hupoteza tempo ya moves za timu na anajiona mkubwa kuliko timu,arsenal waombe kubadilushana na aguero,kuliko kuongeza wendawazim wa kiingereza pale
 
hizi rumors zitakuja kuwa kweli sema wenger tu ndio anabana hapo
 
Sidhani kama Man City wako tayari kum-swap Sanchez na Àguero labda wawape zile £50Mill na Sterling juu, vinginevyo deal idode tu warudi mguu sawa.
 
Back
Top Bottom