Manchester City inategemewa kuweka dau la mchezaji tegemezibwa Arsenal Fc muda wowote. Man City inasemekana wanamtaka Sanchez na watawapa Arsenal Raheem Sterling na dau kidogo! Pia inasemekana nae Sanchez amekuwa akisisitiza kuwa anataka kuondoka Arsenal.
Arsenal inarudi tena kwenye selling club kama watakubali kumuuza Sanchez!
Kwa kweli kama kocha na wachezaji wenzake hawaonyeshi bidio yoyote na kuwa kama an average team, wachezaji wazuri wana haki ya kutaka kuondoka.
mchezaji tegemezi ndiye yupi?unamaanusha nini?mi najua tanzania ni tegemezi kwa wahisani,huyo sanchez ni tegemezi kwa nani!?hata hivyo arsenal wamwache aende,siyo team player,hucheza kivyake,hupoteza tempo ya moves za timu na anajiona mkubwa kuliko timu,arsenal waombe kubadilushana na aguero,kuliko kuongeza wendawazim wa kiingereza pale