mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Angalia hiyo na click hiyo picha chini uone clip itakayokuacha kinywa wazi kama ni mshamba! Refa hata hakuona mpira ulivyopigwa lakini aliuona ukiwa unatikisa nyavu na akaweka mpira kati! Sembuse hilo alilofungwa azamu! Mjue tofati ya locally minded team na Internationally minded team!