Washambuliaji wa VPL wanauza mechi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nkumbuka alisema maximo wakati anaondoka akaulizwa mbona unapendasana washambuliaji tokanje akajibu wengiwanauza timu nilikuwepo nanawajua vyema,,bora timu ikatumiagarama kununua washambuliaji. Name. Mabeki kutoka nje,,,,Leo nimemkumbuka sana nilipoona kavumbagu anakosamagoli yawazi nikasema nae amelamba ama??
 
kama siku ile Tambwe na Kotinyo walivyouza mech Yanga ilipotoa draw na maafabde. halaf. wat goes around comes around. ndo kanuni ilivyo. leo bado uandishi wako umerud kuwa ule ule wa darasa la tatu. umeacha tution? usiache elimu haina mwisho.jifunze kuandika na kusoma pia.ndo tatizo la mayanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…