Washambuliaji wa yanga na Simba next season

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ikiwa deal za timu hizi zitatimia Basi kuelekea Msimu ujao

Washambuliaji wa yanga na Simba watakuwa hivi

Yanga

11 lilepo
10 ngoma
9 mayele
7 kizumbi

Simba

11 adebayoh

10 chama

9 beleke

11 phiri

Unafikiri ni timu ipi ambayo itatisha zaidi

Kwangu yanga watakuwa na kikosi cha wapambanaji zaidi
 
Chama sio mshambuliaji
 
Hakuna mchezaji hata mmoja wa al hilal ataachwa,msijipotezee muda kuwaza ujinga kama huo.,hizo tetesi za kina lilepo na ngoma ni uzushi tu,yaani matajiri wa sudan wawaache wachezaji wao kirahisi namna hyo?
 
Ikiwa deal za timu hizi zitatimia Basi kuelekea Msimu ujao

Washambuliaji wa yanga na Simba watakuwa hivi

Yanga

11 lilepo
10 ngoma
9 mayele
7 kizumbi

Simba

11 adebayoh

10 chama

9 beleke

11 phiri

Unafikiri ni timu ipi ambayo itatisha zaidi

Kwangu yanga watakuwa na kikosi cha wapambanaji zaidi
Lilepo tayari kashasaini Kaizer Chief
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom