KidimbwiNgoma ni mshambuliaji wawapi huyu.
Chama sio mshambuliajiIkiwa deal za timu hizi zitatimia Basi kuelekea Msimu ujao
Washambuliaji wa yanga na Simba watakuwa hivi
Yanga
11 lilepo
10 ngoma
9 mayele
7 kizumbi
Simba
11 adebayoh
10 chama
9 beleke
11 phiri
Unafikiri ni timu ipi ambayo itatisha zaidi
Kwangu yanga watakuwa na kikosi cha wapambanaji zaidi
Lilepo tayari kashasaini Kaizer ChiefIkiwa deal za timu hizi zitatimia Basi kuelekea Msimu ujao