Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
katika hali isiyokuwa ya kawaida wakazi wa rubya huko wilayani muleba wameishauri serikali kutunga sheria itakayowalazimisha madaktari kuandika matokeo ya vipimo vyao vya maradhi ya ukimwi kwa kutumia kalamu ya penseli
wametoa ushauri huo pale walipotembelewa na waziri wa afya katika uzinduzi wa kampeni ya kijue kifo chako inayojihusisha na upimaji wa virusi vya ukimwi na utoaji wa vyeti vya kifo kwa waathirika walio kwenye hali mahtuti
wakazi hao wameweka wazi kutofurahishwa na utaratibu wa sasa wa uandikaji majibu ya vipimo vyao kwa kalamu ya wino kwani huwafanya kutokuwa na uwezo wa kufuta neno positive na kuandika neno negative
Wakazi hao wamesema endapo serikali haitachukua hatua za mapema kutunga sheria hiyo kuna hatari ya watu wengi kuacha kwenda kupima maradhi ya ukimwi