Washauri wa rasirimali watu - human resource consultants

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
How can SME’s increase employee Engagements under Economic/Resource constraints
Changamoto ya kufikia Uwajibikaji, Utendaji bora, Uadilifu, Umahili na Ubunifu(Effective and Efficient Engagement, Resposibility,Accountability, Commitments PLUS Creativity & Innovation) wenye tija kwenye Biashara za kati Tanzania(SME’s)
Tokana na mazingira haya yafuatayo:
1.Ushindani kibiashara, Random New Business Intruders.
2.Economic Stuation, hali ya maisha kuwa juu.
3.Mapungufu ya Rasilimali watu wenye maadili-Unethical stakeholders - society,employee
4.Mazingira mabovu TRA,Municipal,Gvt, Brela,Banks,Unsupportive Tax Policies & Regulation
5.Ukosefu na Udhaifu wa Mitaji, masoko, Technology,
6.Gharama za uendeshaji kuwa juu, Nyumba za biashara, Umeme, Mafuta, kodi n.k
Biashara hizi zinashindwa kufikia malengo yao na pia kudhofika au kudumaa kwa sababu zifuatazo
1.Mapato ni kidogo, Hayatoshezi mahitaji muhimu Mishahara yenye tija(shs 150,000).
2.Kuajiri watumishi wa nafuu na dhaifu wenye ubora wa chini kwani ndio wanaoweza kuwalipa
3.Hawana tafiti za kuboresha bidhaa zao hatimaye kupitwa na wakati, kushindwa sokoni.
4.Hawana tafiti za mahitaji ya masoko na pia kupata masoko mapya.
5.Huduma dhaifu tokana na watumishi dhaifu na wasio na tija wala motisha “ILI MRADI SIKU IMEPITA” na mengine mengi
SWALI LANGU; Kwa hali hii nini kifanyike ili hatimaye kampuni kufikia Malengo yake ?
Mfano; HASA ili wafanyakazi wajitume, wawajibike, wawe wabunifu, wenye tija, waweze KUOTA KAZI ZAO , Waweze kuwaridhisha wateja wao, kama vile wataalamu wanavyoita Employee Engagement, kwa sababu kimsings karibia mikakati yote ya kumridhisha mtumishi bado inahitaji Rasiliamali PESA ambazo ni haba kwa mazingira hayo,
Zifuatazo ni baadhi tu za mbinu za kuridhisha mfanyakazi
1.Mshahara nzuri utakaokidhi mahitaji ya maisha yake labda kuanzia shs 600,000= @ mwezi
2.Incertives, Rewards, Bonus
3. Personal Benefits kumsomeshea watoto, nyumba ya kuishi n.k.
4.Trainings, Seminars, Educations
5.Social Welbeing, Social walfare Michezo, Safari Tour,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…