Washikaji zangu wanamalizia kunyanyua nondo wanaelekea fiesta leaders

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Me kwa busara zangu nimemuagizia tu aniletee samsung S8 nina 100,000 kwa sababu najua nini kita happen huko mitaa ya leaders

Wako kikosi kama 20 hivi mbaya zaidi ni watoto wa kino wazawa pande za huku sijui kinondoni shamba ,makaburini ndio walikua wanacheza kibaba baba

Poleni sana mitaa ya huko leaders hawa jamaa ni wabobezi wasipokukaba nje ya jukwaa watakupiga vice ndani ya leaders ,wako very organized ,ticket hua hawanunui ila wana access yakuingia na kutoka ndani hawakwepeki hata ukikaa VIP wanaondoka na pocha

Ushauri wangu nenda na kitochi hako ka smart kasemehe

Silaha zao hawabebi pistol wanaona inachelewesha wamechukua viwembe (Topaz),bisibisi ,spoke,nyundo,kamba na gunia (hili gunia sijui watumizi yake [emoji23][emoji23] landa wa practice mbeye yangu)
 
Mbona unajua njama zao vizuri,au nawe mmoja wao ila leo unaumwa?[emoji12]
 
Mkuu wewe sema kuwa ndiyo ushatinga leaders kwa ajili ya huo uporaji
 
mkuu we leo unaumwa na hao itakua ni wanafunzi wako
 
Leaders kuna mandata wa kutosha.. Maandalizi yako mwake sana... Nimetoka huko kubarizi ila nimewaachia vijana yaliyobakia.. Sie wazee ngoja tupumzike.
 
Leaders kuna mandata wa kutosha.. Maandalizi yako mwake sana... Nimetoka huko kubarizi ila nimewaachia vijana yaliyobakia.. Sie wazee ngoja tupumzike.
Hawa vijana wameshawahi kuiba kwa mkuu wa FFU Tanzania moja ya cv zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…