Ila wewe jamaaPutin, Trump na Xi Jinping mi naonaga wote lao moja tu, wanatofautiana vitu vichache sana, na hivyo wanavyotofautiana hawaambiani wala kurumbana wao kwa wao direct.
Kweli mkuu, wao nchi zao sio waathirika wakuu wa hiyo migogoro.Ila wewe jamaa
Mchina kambana sana Mmarekani ndio maana imefikia hatua Trump anakiri China na Marekani ni G2Kweli mkuu, wao nchi zao sio waathirika wakuu wa hiyo migogoro.
Ila wanatumia nchi fulani kama ndo playground.
Wakikubaliana nani ashinde basi anashinda kilaini mchana kweupe.
Bora Mrusi naweza kumuamini kua ni mpinzani wa US ila sio Mchina.
Hongereni wachina kwa kumkaba koo USMchina kambana sana Mmarekani ndio maana imefikia hatua Trump anakiri China na Marekani ni G2
Pamoja sana mzee baba sisi Trump kwetu ni mtu wa kawaida sanaHongereni wachina kwa kumkaba koo US
Nalog off Z
Wamebanana, ndio maana wanaiva.Mchina kambana sana Mmarekani ndio maana imefikia hatua Trump anakiri China na Marekani ni G2