Washiriki maonesho ya 98 ya kilimo na biashara nchini Zambia waendelea kutembelea banda la Tanzania

Taasisi ya Mifupa-MOI

Senior Member
Joined
Apr 15, 2025
Posts
118
Reaction score
214
Washiriki wa Maonesho ya 98 ya kilimo na Biashara Zambia wameendelea kutembelea banda la Tanzania na kujifunza kuhusu huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI, MZRH pamoja na huduma za Uchukuzi na Usafiri za Mamlaka ya Bandari Tanzania na Shirika la ndege la Tanzania.
 

Attachments

  • adf0d76c-4f2a-4429-86f0-d9949636ad1e.jpeg
    253.5 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…