Pre GE2025 Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania

Pre GE2025 Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili.

Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.

Usithubutu kuondoka JF, tutakuwa tuna update hizi taarifa kwa kadri tunavyozipata mpya kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika ndani ya Kamati ya Maandamano.

Pia soma:
 
Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.[emoji419][emoji375]
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yalianza kidogokidogo tu lakini sasa yamekuwa Makubwa sana
 
Back
Top Bottom