Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

hata akipotea tayari amelitumbukiza kanisa katoliki shimoni, je kuna papa mpya ataibuka na kulitoa shimoni? Labda awe papa mweusi tii kutoka afrika, kusini mwa jangwa la sahara. Papa mwenye maadili ya kiafrika mhafidhina
 
Huyo Aliefungisha ndoa hiyo ana mapepo[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] hawa mapapa wanatumika sana mamaeee
 
ILA kimukweli ushoga haupendezi kabisaa!!!!!!!
kwa wengine unapendeza, ndo maana kanisa katoliki wameamua kuubariki, papa kashasema achen kuwa rigid nenden na dunia ya leo. Kwa lugha nyingine kasema muache ushamba, au kuleni kitu roho inapenda, ya nn kujifichaficha, hyo kitu huko ukatolikini kwa sasa ni ruksa na hadharani.
 
papa hapotee aende wapi? udhani papa anaamua mwenyewe? umeusoma waraka? hyo ni kauli ya wenye kanisa sisi huku ni tufuate au tuwapishe. kwanza kashapigilia msumari kuwa tuache ushamba, tuende na dunia ya leo.
 
hata akipotea tayari amelitumbukiza kanisa katoliki shimoni, je kuna papa mpya ataibuka na kulitoa shimoni? Labda awe papa mweusi tii kutoka afrika, kusini mwa jangwa la sahara. Papa mwenye maadili ya kiafrika mhafidhina
na haitakaa itokee papa atoke africa, had mwisho wa dunia, kama upo lakini.
 
Wasabati wanawambia kila siku waroma ndo wapinga kristo huwa mnawabishia
 
Wasabati wanawambia kila siku waroma ndo wapinga kristo huwa mnawabishia
na bado walijitahidi sana kupindisha ukwel kuwa et papa hakusema mashoga wabarikiwe, ila ni mali zao tu zibarikiwe, sasa papa alivo kiboko, kawaambia wapindishaji wa waraka waache ushamba waendane na dunia ya leo.
 
Kua mkatoliki ni fedheha sasa
 
Mwanzo wa mwisho wa kuanguka kwa Babeli.
 
Kwani na wewe ni shoga?? Mbona shangwe nyingi?
 
Wanaume mnachukia mashoga tangu lini?
Akati nyie ndo mabwana zao na mna walala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafiki unawasumbua, khaaaah
wewe acha kupayuka na sipendi kelele hao wananume ambao wanatembea na hao mashoga wanapatikana mtaani kwako tuu au.
 
Mh
 
Askofu Mkuu Ruwaichi kasema hatafanya huu upumbavu, mabaraza ya Maaskofu ncho nyingi za Afrika pia wametoa matamko kwamba hawatafuata,
Nadhani kama mtu ni mkristo kweli ni wakati wa kuungana na hawa maaskofu kuliko kukubali kushindwa mapema
Lakini si kanisa katoliki huwa linasema Papa hapaswi kupingwa, maana kauli yake ni kauli ya mungu!

Ukatoliki una vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…