Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Bwana wewe haya mambo huko Songea uliyajulia wapi?
 
Pope Francis na Obama, it was just a matter of time agenda ipambe moto…
Anyway, hata wakristo wengine mnatumia biblia iliotungwa na wakatoliki sooo🚮🚮
 
Ukipata muda Ignore hii takataka utakuwa umefanya jambo jema sana kwenye maisha yako mimi nishafanya yangu huyu mtu ni laana
 
Ukipata muda Ignore hii takataka utakuwa umefanya jambo jema sana kwenye maisha yako mimi nishafanya yangu huyu mtu ni laana
Umeni ignore na post zang unaona na Una quote pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee we.
 
Umeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha
 
Mbona tuliambiwa tuna akili batili hatujauelewa waraka tuliposema haya yanayotokea, tukaambiwa hatujui english waraka haujasema mashoga kubarikiwa ila papa kasema mali zao tu ndo zibarikiwe? yako wapi sasa, au hyo ni photoshop ya bbc?

cc denoo JG
Kamati za ufafanuzi za wafia dini zile.

Hawataki kukubaliana na ukweli kwamba mwenye kanisa kashatoa maelekezo ya kutekeleza na hakuna kubisha.

Sasa tuseme kweli alisema vitu vyao, sasa unabariki vitu vya shoga ila sio shoga mwenyewe, yaani ukasema kitimoto huli ila mchuzi wake unakunywa, hizo akili ama bangi?

Makanisa ni taasisi za kitapeli Mungu hayupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…