Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Yanatimia.....
Huu ni wakati wa kuachana na mafundisho ya kizungu....
Hakuna shida na mafundisho kwa mujibu ya vitabu vyote vitukufu, iwe Agano la kale, agano jipya, Quraan vyote vinasimama kwenye mambo ya msingi hakuna tofauti dhambi zote zimekemewa kwa ukali sana halina mjadala. Shida hawa wanaoijiita viongozi wanajisahau wao ni viongozi tu kulinda taasisi hizi za dini na kuhubiri yalipo kwenye vitabu sio kuongoza mambo kwa maoni ya mtu binafsi. Ni wakati wa wafuasi wa RC kupaza sauti hapa TZ kusema hili ni hapana kwetu wazi kabisa, hakuna ohh sijui hawakumuelewa Papa sijui nini, NO Papa kawakosea sana waumini. Nikiangalia hizi picha tu napata kichefuchefu na hawa mbwa. Fanyeni mambo yenu huko sio sasa mnataka mpewe nafasi special kwenye dini.
 
kwahiyo wataunda chama chao right? Maana wawata hawafai, uwaka hawafai wala viwawa hawastahili
 
Umeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha
kwa hyo hao waliobarikiwa ni mtu na mdogo wake siyo? mambo yameshaharibika tuache kujizima data mkuu, haisaidii chochote, kama kuna jinsi ya kufanya ili huu waraka usiendelee kutekelezwa ifanyike. papa alazimishwe kutoa waraka wa kupinga waraka wa sasa, je hilo linawezekana?
 
Tutolee harufu ya mavi humu. Njooni nanyi tuwabariki huku Jimbo katoliki Tarime muone kama hatutawanyonga. Maana tutawapiga fimbo kweli kweli.
 
Bado hamjasema mtakubali tuu ni suala la muda.
Sijui ni kwanini hili suala Waislam wa Zanzibar mmelibebea njuga sana. Suala hilo ni la Papa na Kanisa lake katoliki na sio Msimamo wa Kanisa Zima. Hilo ni sawa na SHEKHE MKUU WA BAKWATA atangaze na kuruhusu Waislamu wale kitimoto, sisi WASUNNI na baadhi ya Waislam tulio chini ya BAKWATA hatutaliunga mkono wala likubali kwani sio Msimamo wa UISLAM ila ni wa mtu binafsi. Ili kitu kiwe halali ndani ya dini husika ni lazima liwe limeandikwa kwennye vitabu vitakatifu vinavyosimamiwa na imani hiyo.

Hakuna sehemu kwenye Biblia imeruhusu wala kuongelea mashoga waoane. Biblia inaeleza na kukataza maharishi, mashoga na Ufiraji (1 Korintho 6:9) kwahiyo msimamo wa Papa sio msimamo wa Kanisa na Wakristo kwa ujumla.
 
Soma hii utaelewa kuwa ushoga ni dhambi katika RC

I’m a 62 year old gay man who was raised Catholic. My husband and I have been together for 30 years. I struggle to understand why you would want a blessing from a Church that considers your relationship a sin. The bottom line is that church teachings still state that homosexual acts are intrinsically disordered. The Catholic Church is basically still in “love the sinner, hate the sin” mode. I think a stronger witness for you and your husband would be to leave the Catholic Church for a denomination that recognizes and honors your relationship as something sacred, holy and loving. That sends the message to church leadership that parishioners will continue to leave as long as the church continues to treat LGBTQ people as second citizens and label us as sinners.
 
Mbona wana mchecheto hivyo, watu bado tunajadili msimamo wa papa hatuamini kama ni kweli ameruhusu baraka hizo kwa mashoga na wasagaji tayari huko marekani wameanza kubarikiwa! Haraka ya nini? Huku afrika sijui ni nchi gani itakuwa ya kwanza kubariki wapenzi hao!
 
Nani kakuambia mimi ni muislamu na nipo ZANZIBAR? Halafu nikuulize habari inapotoka kuna mipaka ya nani aisome na nani asisome? Foolish
 
Aiseee we jamaa nakufuatiliaga nimebaini kitu kwako. Nakumbuka Kuna Uzi ulianzisha wa kuuwawa shoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vile tu hapa jukwaani kila mtu ana uhuru, ana haki ya kuwa vyovyote na kutoa maoni yoyote yenye staha na maadili mema.
Kila mtu aliyeko hapa Jf ana thamani na ana utu na zote tunapaswa kujali katika hilo.
Binafsi cocastic ameni disappointing sana.
Uhuru ni wake lakini ukweli ajuwe ana vunja moyo na kukwaza watu, aheri angekuwa ananyamaza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…