kookaburra
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 563
- 1,416
Ngoja wahusika wanaelew wanachomaanshaMbona tuliambiwa tuna akili batili hatujauelewa waraka tuliposema haya yanayotokea, tukaambiwa hatujui english waraka haujasema mashoga kubarikiwa ila papa kasema mali zao tu ndo zibarikiwe? yako wapi sasa, au hyo ni photoshop ya bbc?
cc denoo JG
Kumbe ku ignore n ku blockUkipata muda Ignore hii takataka utakuwa umefanya jambo jema sana kwenye maisha yako mimi nishafanya yangu huyu mtu ni laana
😆😆😆 Moto utawakaWakiambiwa wanabarikiwa wanaweza kumkaba padri katikakati ya misa... 🤣 🤣
Sawa wewe mkweli dunia nzima ndio unajua ukweli aliozungumza Francis au wewe dume lake nini ? maana unatetea upumbavuUmeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha
Mambo mazito ni kuuma meno tuWakatoliki maji yamezidi unga...[emoji23][emoji23]
Mbona keshapingwa na wengi tu, huu ufirauni utaishia huko huko UlayaPapa ni kama mfalme, watu wanasema mfalme hapingwi
Askofu Mkuu Ruwaichi kasema hatafanya huu upumbavu, mabaraza ya Maaskofu ncho nyingi za Afrika pia wametoa matamko kwamba hawatafuata,Kama hii habari ni kweli basi kanisa limeshapoteana!!!!
Hapa mwanangu hakuna ch kipa imara wala nini nitamfundisha kusali mimi mwenyewe huu ni uwehu!!
Yani hawa jamaa weupe sijui wana shida gani na hii dunia, naisi wanataka dunia iwe ni sehemu ya ajabu sana na isiyo kuwa salama.
Kuna siku itafika mpaka uwe shoga ndo upate kuhudumiwa hudum za kijamii, hawa sio binadamu wenzetu kanisa na ushoga kwelii???
Biblia yenyewe imekataza mambo ya sodoma huyu mzee atakuwa ni shoga bila shaka.
Acha usnge mkuu🥺🥺Wooooooooooowwwwww!!!
Wamependezana wenyewe, afu mbna bottom inaonekana mpolee sana, aaah ananiangusha kidawa wangu, inabidi achachuke kdg had padri apagawee.
Weraaaaaa weraaaaaa!!! [emoji2380][emoji304] 4reverrrrrrrrrrrr!!!
[emoji120][emoji120][emoji120]