Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Jamani watu wamechoka uchumba sugu, wachelewe ili iwejee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Kabisa mkuu. Na kanisani ikishaingia ndo basi tena maana ndo angalau sehemu ambayo tulikuwa tuna fimbo ya kuwachapia huu ushenzi wa hawa wahuni.
 
Ninyamaze iwejee? Mie nashangilia pope kuwakumbuka elijibitikiu, jamani muwaache gays nao wapate baraka ktk mahusiano yao, wamechoka uchumba sugu wa gizani, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kabisa mkuu. Na kanisani ikishaingia ndo basi tena maana ndo angalau sehemu ambayo tulikuwa tuna fimbo ya kuwachapia hawa wahuni.
Nawasha iingiza ama wataiingiza tu nisuala la muda tuuu
Vipi wakatoliki hapo tz wamesema nini kuhusu hili kuna waraka wowote watakao usoma kama ule wa dp world
Hawa watu kama ntakosea mtanisahihisha wanajuana
Kuna siku mda nilikaa sehem akapita dada anazungumza na simu kuhusiana na kanisa nakutokemea majambo haya kama ilivyo msikitini
Yule dada sijui kwanini sikuchukua namba yake aliongea points sana na aloyaongea haya yametokea
Alisema nisuala la muda kabla haya majambo hayajaja makanisani hata miaka mitatu haijapita tayari
Yule dada popote alipo Mungu amhifadhi amjaalie afya na uzima wa kutosha
 
Unateseka ukiwa wapiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtaguso unaenda kuguswa. Hawa mabwabwa yananguvu sana, sijui yamewezaje kumshawishi papa. Sasa tunataka papa atokee Afrika.
Km Dini ilianzishwa Africa, bas atatoka bara LA giza huyo pope.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hali kumbe sio Shwari hivi wakunwa tako wameshangilia aibu kweli kweli kitu najiuliza hapa kwaiyo mpaka bongo watafungishwa wewe hii sio kweli hata chuga apana
 
Poleni sana Wakatoliki.
Tafuteni imani sahihi inayoendana na kile unachoamini ujiunge huko.
 
Mnyama 666 papa na kanisa lake

Kazi yake ya kwanza ilikuwa kuanzisha dini akanzisha Ukristo

Kazi ya pili ni kutengeneza Nabii wa uongo wakamuweka Paulo

Kazi ya tatu ilikuwa kuchonga kinyago na kukiita Mungu
Wakachonga kinyago chao Yesu wakawambia waumini wao huyu ndio Mungu wenu

Kazi ya nne ni kuharibu mfumo wa Ibada sahihi wa kumuabudu Mungu Yani kumsujudia Mungu
Wakaweka viti na meza makanisani Ili waumini wao wasiweze kusujudu

Kazi ya tano ni kuruhusu Ushoga makanisani tayari wamefanikiwa
 

Ukristo imekua dini ya mashonga?!! Mmh
 
Nigga wtf

Bora nibaki kwa akina Mwamposa na Kuhani Mussa tu

Huko kwingine hapana
 
Sio Roma tu bali dini zote, kwa ujumla mafundisho yake na miongozo yake inafanyakazi chini ya hasira ya Mwenyezi MUNGU. Hivyo wachopaswa kujua nikwamba MUNGU ni upendo wala hana dini yeyote.

MUNGU ni roho ndio maana hata manabii wake wengi kwanzia kwa henoki mpaka kwa akina mtakatifu Paulo na wengine wote. Walimtukuza MUNGU katika roho na ukweli. Hii inaonesha nikwa jinsi Gani ilivyongumu kumtumikia MUNGU bila kuongozwa na Roho mtakatifu.

Ukija kwa Hawa viongozi wa leo wa dini kama papa, ukiangalia matendo yao hayaendani kabisa na maisha ya utakatifu wa MUNGU, hili huwezi kushangaa sababu Hawa wamesoma theolojia, ili kumtumikia MUNGU. Hivi inaingia akilini kweli mtu unamtumikia MUNGU by proffessional.

Hivyo haya mambo yasikushangaze na ukajikuta kuweka imani yako kwa Hawa watu, wew kama mkristo soma biblia, pia kwa muislamu soma Quran. Na uwe umewasamehe wote waliokukosea na wew ujisamehe dhambi zako na kujikita kumtafuta MUNGU kwa moyo wako wote na utaona matokeo yake.

Lakini sio kwa hawa viongozi wa dini ambapo kile wakisemacho Kama kupitisha hizi ndoa za (mashoga) haviendani kabisa na mafunzo ya MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…