Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

Mbona tuliambiwa tuna akili batili hatujauelewa waraka tuliposema haya yanayotokea, tukaambiwa hatujui english waraka haujasema mashoga kubarikiwa ila papa kasema mali zao tu ndo zibarikiwe? yako wapi sasa, au hyo ni photoshop ya bbc?

cc denoo JG
Wanajaribu ku rationalize alichosema Papa,
Inaitwa Cognitive dissonance.
 
Unashangaa hilo li africa ndo linaolewa🙁🙁🙁🙁🙁
 
Ruwaichi and Co wanajaribu kudivert ukweli wakidai Papa hajaruhusu...
 
Umeandika uongo, uzushi, papa hajaruhusu ila alichosema ukijisema eti shoga ubarikiwe hicho kitu hakipo. Ila media naona wajinga kweli kweli wameamua kupotosha
Ni busara kukaa kimya mkuu.

Upotoshaji ni mkubwa.
 
Kuna wanaotetea mara kubariki sio shida ila wanajua wanatetea ujinga ni vile tu dini imekolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…