Washiriki wa Miss Rwanda 2021. Ungekuwa Jaji ungempa nani taji.

Rwanda ni nchi inayojua kujifanyia marketing sana...

Unajua rwanda na burundi raia wao ni makabila yale yale ya rwanda, wanafanana kila kitu...

Lakini huwezi sikia mbwembwe za urembo wala nini burundi
Hongera zao, na wao pia wanajukubali na kujitangaza pia uzalendo na maendeleo huanzia apo. Na sisi tuige jamani
 
Siku hizi tunaangalia shingo na masikio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Okey kwa shingo upande kuna takataka ilinilazimisha kufanya Calculus na nikachomoka kwa mbinde sana,sasa naona na wewe unaanza kunipa mitihani migumu gumu kama yule jamaa namna hii.tuheshimiane!!kama hana tako ni mbaya tu😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…