GE2025 Washitakiwa 114 wafunguliwa kesi ya uhaini Mwanza, kufuatia maandamano Jumla yafikia 320 nchi nzima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamba ingieni barabarani jeshi liko upande wetu siri ni namba saa 3 tu tunaichukua nchi.

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba
Kwani kuandamana ni kosa kisheria? Utasema waliharibu mali je kuharibu sheli ni uhaini?

Uliongea pumba hizi hizi kuhusu chadema na wote jana wameachiwa. You're such a useless pig.
 
Kwamba ingieni barabarani jeshi liko upande wetu siri ni namba saa 3 tu tunaichukua nchi.

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba
jamani maTanzania nimeamini bado majinga sanaaaaaaa
 
Hivi watu wakijiunga kwa maelfu na maelfu waseme na wao waunganishwe katika kesi hii ya uhaini, serikali itafanya nini?

Itawanyonga wahaini laki moja?
Ndio kinachoenda kutokea 9 December. Hawa Wahaini na maiti wanazoshikilia vyote watavitapika.
 
Kwani kuandamana ni kosa kisheria? Utasema waliharibu mali je kuharibu sheli ni uhaini?

Uliongea pumba hizi hizi kuhusu chadema na wote jana wameachiwa. You're such a useless pig.
Kuchoma kituo cha mafuta ni ugaidi kumbe hujui?
 
Hivi watu wakijiunga kwa maelfu na maelfu waseme na wao waunganishwe katika kesi hii ya uhaini, serikali itafanya nini?

Itawanyonga wahaini laki moja?
Bwana Kiranga.Naamini kwa upeo na Uwezo wako unafahamu kwamba kilichotufikisha hapa ni hiyo namna ya kufikiri yakusema "Hivi kwani tukifanya hivi serikli itafanyaje" Tunatakiwa tujiulize kwa kuwa serikali imeamua kufanya hivi tufanyeje?

Matukio yaliyotokea kabla,wakati na baada ya uchaguzi, na yale yanayoendelea sasa hivi ynahitaji tafakuri makini na upeo mkubwa ili kuweza kuelewa tunatokaje hapa.

Kwanza ni kweli kwamba Serikali ilitumia Nguvu kupita kiasi ila Pia waandamanaji nao walitumia nguvu kupita kiasi.Sasa hivi serikali inahangaika kujaribu kutafuta namna ya kutoka hapa tulipo.Wanaharakati wengi wanajaribu sana kuturudisha tulikotoka.

It is undeniable fact kwamba Watu wamekufa tena wengi.Watu wameamuzwa tena wengi.The fact kwamba wewe na mimi tupo hapa ina maana kwamba labda tulikuwa na hekima tukakaa ndani,au tulikuwa waoga,au Huruma ya Mungu.

Kwa sasa serikali lazima ifanye kazi yake hata kama ni kazi mbaya.Swali ni Je kwa kuwa serikali imefanya ilivyofanya JE TUNAFANYEJE ili tutoke hapa tulipo?

Hao vijana ambao wamepewa kesi za UHAINI si ajabu hata hawakujua kwamba kuna kitu kinaitwa UHAINI na HUKUMU yake ni kali sana.Wao waliaminishwa tu kwamba UASI ni UZALENDO wakasahau kwamba UASI unakuwa UZALENDO ukifanikiwa USIPOFANIKIWA unakuwa BLUNDER.
 
Or in simple way they can JUST decide to Break the same Law as the Accused in Defiance to Authority and get arrested
 
Kwamba ingieni barabarani jeshi liko upande wetu siri ni namba saa 3 tu tunaichukua nchi.

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba
Watu walipigwa FIX matata sana.Kiapo cha Mwanajeshi ni hatari sana.Kufikiri tu kupindua nchi Kosa Kijeshi.Anyway Tumejifunza,Tuombeleze
 
Hiki chama cha Mawakili kina tetea Magaidi ?
 
WASICHELEWESHWE APIGWE CHUMA WAKALISHWE SAMAKI VIWA VICTORIA , YAANI ASIRUDI MAHAKAMANI NEXT TIME WAWE HAWAPO WAMESHALIWA NA SAMAKI WA ZIWA VICTORIA , TUNAFUGA SANA MAJAMBAZI

Jeuri hiyo hivi sasa serikali ya chama dola kongwe haina, maana imetikishwa na maandamano waliyosema hayawezi kamwe kutokea nchini Tanzania.
 
Jeuri hiyo hivi sasa serikali ya chama dola kongwe haina, maana imetikishwa na maandamano waliyosema hayawezi kamwe kutokea nchini Tanzania.
akitokea rais strong angeshamalizana na hao maramoja
 
Wanaushaidi gani kuwa has vijana wa afu 2000 ni wahaini?? Na wote walikana mashitaka hayo, vyombo vya habari nchi vinalipwa kusambaza taarifa ili gen-z waogope niseme tu kwamba zama za uoga zimeeshapita hiki ni kizazi kipya.
 
Sijaelewa umeandika nini, sijaelewa kama umeelewa nimeandika nini, sijaelewa objection yako ni nini.

Ni kama umeninukuu katika post tofauti ukaijibu, halafu mimi nashindwa kukuelewa kwa sababu nikijumlisha ulichonukuu na ukichojibu sioni muunganiko.

Mimi nimesema kuwa kuna uwezekano wa watu kuandamana kwenda vituo vya polisi na mahakama ili waunganishwe kwenye kesi hii au waanzishiwe kesi nyingine nyingi kama hizi.

Kujaza mahakama na jela za Tanzania.

Kuonesha mshikamano kuwa kesi hii si ya wahuni wachache ni ya Watanzania wengi.

What is your objection?

Kusema "Hivi tukifanya hivi serikali itafanyaje?" ni kujiuliza, ni kupanga, ni abstract thought.

Tatizo liko wapi hapo?

Unataka twende kama ng'ombe tu bila kupanga strategy?
 
11 November 2025
Nairobi, Kenya

Over 300 Tanzanians, including minors, charged with treason after disputed elections​


View: https://m.youtube.com/watch?v=3q2HnhRxE24Over three hundred people in Tanzania are facing the highest crime in the country, that of treason. Those charged were arrested in the aftermath of the discredited general elections of late last month, and include politicians, influencers, ordinary citizens and some as young as thirteen years of age. The charges come as the opposition CHADEMA’S leadership denied engaging in talks with the Samia Suluhu led governmentThe developments in Tanzania come as the un human rights chief Volker Türk called for investigations into the killings and other violations committed in the context of the 29 October elections in Tanzania, as reports emerged that bodies may have been taken by security forces to undisclosed locations.
Source : Citizen TV Kenya

From archive / maktaba
More detailed Information in depth

10 November 2025
Mwanza, Tanzania

114 more Tanzanians Charged with Various Offenses Including Treason in Mwanza Town along lake Victoria.

Mwanza: A total of 114 suspects were arrested in Ilemela district in Mwanza region between October 28 and 29, 2025 have been arraigned at the Ilemela District Court facing various charges including conspiracy and treason.

The defendants had their charges read out today, Monday, November 10, 2025 from 1pm to 4pm at the Buswelu Integrated Justice Centre, before Senior Resident Magistrates Christian Mwalimu and Stella Kiama.

The suspects have been charged with three separate cases — the first case is for 22 suspects, the second case is for 64 suspects, and the third case for 28 suspects.

In the court, Republic was represented by Senior State Attorneys Mwanahawa Changale and Safi Amani assisted by Adam Murusuli. The defense side was represented by nine lawyers from the Tanganyika Law Society (TLS) led by Erick Mutta.

The court was told that all the accused were not required to answer anything due to the court lacking jurisdiction to hear such cases, also the offences are non-bailable so all the accused will continue to be remanded while the investigation continues.

In the first case number 26565/2025 before Judge Christian Mwalimu, State Attorney Mwanahawa Changale said the 22 suspects are facing charges of conspiracy and treason contrary to sections 384 and 39(2)(d) of the Penal Code Act, Chapter 16, allegedly conspiring to disrupt the 2025 general election and destroy government property.

The second case, case number 26641/2025, involving 64 accused (Fredy Malebele and 63 others), the charge sheet read before Chief Resident Magistrate Stella Kiama where the Republic filed two charges of conspiracy and treason committed between October 28 and 29, 2025 in the areas of Pasiansi, Kona ya Bwiru, Kitangiri and Kirumba.

In those cases, the defense raised five motions asking the Court to direct the Republic to speed up investigations on the suspects before the next date f the mention of the proceedings, including a request to provide medical treatment to the accused who are sick and to provide clothes and shoes to those who do not have them.

After hearing the motions, Chief Resident Magistrate Christian Mwalimu ordered the Warden of Butimba Prison to take the nine accused to hospital and submit medical reports to the court on the day of the mention of the case, as well as to ensure that all the accused are provided with proper clothes and shoes.

And Chief Resident Magistrate Stella Kiama ordered the Prisons Service to ensure that suspects receive their rights while under custody, including meeting with their relatives in accordance with the procedure set by the security agencies.

For his part, the Vice Chairman of TLS Mwanza chapter, Erick Mutta, said a total of 37 lawyers from TLS have volunteered to defend all the suspects arrested following the protests that occurred between October 29 and 31, 2025 after the 2025 general elections.

However, all the accused have been remanded until November 24, 2025 when the cases will be mentioned again.
Source : the Chanzo
 
Kwamba ingieni barabarani jeshi liko upande wetu siri ni namba saa 3 tu tunaichukua nchi.

Kweli Nyumbu ni chakula cha mamba
Na nguruwe kama wewe ni chakula cha Samia na Genge lake? Ndiyo maana unanenepeshwa na makombo yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…