kwann hamkuripoti? hiyo inasumbua sana mimi nina jamaa yangu alipangiwa wilaya moja na amesoma course za Afya akaripot halaf hakupendezwa na mazingira ya kazi akaacha kazi akaomba upya akapangiwa sehemu nyngine, aliporipot ikaonekana yupo kwenye system ya ajira, mshahara wake ukazuiwa na mpaka leo yupo mtaani mwaka wa 3 anasubiri kibali cha katibu mkuu kiongozi ndo aanze kupata mshahara. hivyo inasumbua sana bora uripoti halaf ufanye process za uhamisho kama hujapenda mazingira.