Wasiajiriwe Tena Ambao Hawakuripoti Mwaka Jana

Wasiajiriwe Tena Ambao Hawakuripoti Mwaka Jana

handsome 00

Member
Joined
Dec 16, 2013
Posts
97
Reaction score
19
Wizara ya elimu yasema walioomba ajira miaka iliyopita, wasiripoti vituoni mwao,wasitegemee kupata tena. Tutakimbilia wspi cc?
 
kwann hamkuripoti? hiyo inasumbua sana mimi nina jamaa yangu alipangiwa wilaya moja na amesoma course za Afya akaripot halaf hakupendezwa na mazingira ya kazi akaacha kazi akaomba upya akapangiwa sehemu nyngine, aliporipot ikaonekana yupo kwenye system ya ajira, mshahara wake ukazuiwa na mpaka leo yupo mtaani mwaka wa 3 anasubiri kibali cha katibu mkuu kiongozi ndo aanze kupata mshahara. hivyo inasumbua sana bora uripoti halaf ufanye process za uhamisho kama hujapenda mazingira.
 
Boresheni mazingira ili watakaoripoti washawishike kubaki huko. Haya yote madhara ya kufuta JKT wakati wetu ukipata chaka la kuripoti huko ndiyo kuzuri maana ni kama "umejongo" waliopita JKT wanajua maana ya hili neno, huko hutegemei kukutana na mkaguzi ila unaripoti mjini kufuata chako kama umepita chalinze vile
 
Wizara ya elimu yasema walioomba ajira miaka iliyopita, wasiripoti vituoni mwao,wasitegemee kupata tena. Tutakimbilia wspi cc?

Nini kiliwafanya msiripoti kazini wakati huo?
 
mbona post yako haieleweki mkuu!walioomba wasilipoti?
 
Bila shaka alipaswa 'kuandika walioomba kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma' (kama wapo) kisha hawakuripoti...
Mbona post yako haieleweki Mkuu! Walioomba wasiripoti?
 
Back
Top Bottom