Wasichana bana!

mmmmh! ngoja ni............ kama vp baadae
 
love means getting to be known also......or unless the word I love you very much bears a hidden connotation like I want to bang you very much but even there the brutal truth needs to be asked.........................where will you ravish her very much if not in the comfort of your own bed sheets............hii yamaanisha kumkaribisha nyumbani labda kuwepo na mbweha wakali mno........................just thinking a bit too loud............
 
Wewe ulikuwa unatafuta nini kwake?
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
 
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
kwa case hii mimi sio mdada. Lol.Ila nafikiri sio jambo baya.
 
anaangalia kama kuna masofa, luninga, mapochopocho, na viatu vya kike kama vipo..akiona pametulia hakuna dalili ya mwanaume, pia pana vitu hivyo nilivyovitaja...apo umepata...akiona kuna viatu vya mwanamke au kanga etc, akaona hapaelewekieleweki hamna masofa, hamna mazingira ya fweza...analala mbele na mameseji mabaya na kununiana kunaanza.
 
Asanteee....sasa mwaliko wenyewe unahusu msosi au nakuja kuangalia tv tu?!

Lizzy mbona wajihami hivyo...............................
 
Kuna kasichana kalikuwa kanalalamika chuon eti mkaka kamdanganya ana flat screen kwenda kwake anakutana na dungu, sasa sie tukawa tunacheka hatuna mbavu, tunajiuliza flat sreen inahusiana vipi na mapenzi yao mpaka aje kulalamikia kwetu?watu kweli siku hizi wako kimaslahi zaidi
 
Kwanza jiulize kwanini huyo kaka alimdanganya?!Labda msichana angejua ukweli toka mwanzo wala asingejali.....kuna uwezekano kwamba mdada tatizo lake halikua mshkaji kutokua n flat screen bali kutokua nayo na kudai anayo!!!
 
Dah! ubarikiwe shantel
 
Lizzy yaani alikuwa serious sana na malalamishi yake, eti mi nilidhani anasema kweli, muongo kanidanganya, na jamaa kakazana kujitetea eti ipo kwa fundi, yaani ni utoto fulan hivi nilichaka sana that time. na hawakuachana mpaka walioana na dungu lao
 
Ur right Hute! Most of them wako hivyo. Kazi kweli kweli, sasa kumkubali mtu kuna uhusiano gani na vitu vilivyopo nyumbani kwa mtu?
 
Ukiona anachunguza hayo huyo ni kumpiga chini, au siyo?
 
Lizzy yaani alikuwa serious sana na malalamishi yake, eti mi nilidhani anasema kweli, muongo kanidanganya, na jamaa kakazana kujitetea eti ipo kwa fundi, yaani ni utoto fulan hivi nilichaka sana that time. na hawakuachana mpaka walioana na dungu lao
Kama ni hivyo nampa big up sana huyo dada anajua kusamehe na ndo maana mume kamuona huyo ni wa kumchukua na kumfanya ma waifu wake, wengi wa kimaslahi hawana moyo kama huo hata siku moja!
 
Bora nikute mwanaume analala kwenye mkeka tena kwenye korido katika nyumba aliyopanga dadake naweza hata kumsaidia japo kimawazo kuliko nisiepajua kwake hata awe anaishi mazingira yanayofanana na white house kwa Obama! Kwanini unifiche kwako? Ctakuamini hata kukuazima kalamu ntahisi wataka kuniibia tu. Urafiki gani wa mashaka?
 
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?

Yeye anayo haki ya kujua unishi wapi na wewe pia unahaki ya kujua anaishi wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…