Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
mwanzenu aliambiwa ili aingie kwenye kundi la premium Member, inabidi apoat nyuzi nyingi na kuchagia post nyingi, so jamani mwacheni zjitendee haki, mpeni mwenzenu sapoti apande level ingine, Lol
Here aim dia, ngoja nimsaidie kidogo ni kwamba akijitambua na kujua anachokitaka na akawa na husband material atakutana na wife material waliotulia bila kujali umri,ukiwa waruwaru utakutana na waruwaru wenzie ngoma inakuwa droo!Njoo mwaya! Haya mabaya anayoyasema kila siku, ina maana yeye hajawahi furahishwa hata siku moja? Or yeye ni perfect sana kiasi kwamba makosa wanatenda wenzake tu?? Au kwa sababu mwenzake hawezi kuja kusema hapa jamvini??
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.
Mbona umewageuza binadamu kama nguo as if ni kama shati size kubwa wewe ulianza kuvaa ukiwa na age gani?
Hao wote watoto,angalau 28 na kuendelea!Ila wanawake wote wamezaliwa na baba na mama mmoja!
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.
Na mie leo huu ndio utakuwa mwendo wangu,unakumbuka sred yake ya jana,yan hata yeye haeleweki ndio maana hata yule bint alipoona msg ya kuachwa alimradharau!ona leo hajui bint anatulia akiwa na umri gani atatulia kwa mtu ambaye hajajitambua!
Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!
Uko sahihi hajajua kwamba ukitaka kujua chanzo cha tatizo hasa kwenye mahusiano ni lzm uanze kujichunguza ww mwenyewe coz unaweza kuwa ndio chanzo cha matatizo,kwa mujibu wa sred zake inaonekana yeye mwenyewe ndio chanzo cha matatizo kwenye relation zake,asipojirekebisha ataishia kulia lia tu hapa njamvin miaka yote.Dearest, kuna watu huwa hawakubali kuwa wao wana makosa hivo hujiona wao hawakosei na kubaki kushutumu upande wa pili! Watu kama hawa huangalia furaha yao tu na hujiaminisha kwamba 'the girls' are there kufata kile kitakachowaletea furaha wao tu kiasi kwamba kikitokea kitu kidogo tu basi wanaundermind wenzi wao. Senetor is of the like, akijiangalia vizuri ataujua ukweli. Hajajigundua kwamba anatakiwa ajisome vizuri, na haeleweki kwa sababu hajijui so hatojua afanye nini kwa sababu amejijengea taswira tofauti kabisa, otherwise atakuwa anabahatisha tu kwa kuuliza hivo vijimaswali ambavyo havifikii hata robo ya mzizi wa tatizo ambao ye mwenyewe ameukalia!
Here aim dia, ngoja nimsaidie kidogo ni kwamba akijitambua na kujua anachokitaka na akawa na husband material atakutana na wife material waliotulia bila kujali umri,ukiwa waruwaru utakutana na waruwaru wenzie ngoma inakuwa droo!
Pole senetor.
Kama ni hivyo mbona ndoa utaichoka mapema na kukushinda kabisa mamaaaa! Unaweza ukajikuta kwenye ndoa ambayo mambo ni oversize na hela na ndoa ishafungwa unadhani utaomba talaka. Mwanamke uvumilivu dadangu! Mvumilie tu, ka vipi na wewe anzisha mashambulizi kwa men tu ni style ya uandishi tu wala usikwazike!
Uko sahihi hajajua kwamba ukitaka kujua chanzo cha tatizo hasa kwenye mahusiano ni lzm uanze kujichunguza ww mwenyewe coz unaweza kuwa ndio chanzo cha matatizo,kwa mujibu wa sred zake inaonekana yeye mwenyewe ndio chanzo cha matatizo kwenye relation zake,asipojirekebisha ataishia kulia lia tu hapa njamvin miaka yote.
Kama ni hivyo mbona ndoa utaichoka mapema na kukushinda kabisa mamaaaa! Unaweza ukajikuta kwenye ndoa ambayo mambo ni oversize na hela na ndoa ishafungwa unadhani utaomba talaka. Mwanamke uvumilivu dadangu! Mvumilie tu, ka vipi na wewe anzisha mashambulizi kwa men tu ni style ya uandishi tu wala usikwazike!
Asante mkuu kwan nawe umeliona hili!Vp Lkn, na wewe utaanza kutulia ukiwa na miaka mingap???uliokuwa nao hawakutulia kwa sababu gani???mbona wote kwako wako hivyo???umejiulza maswali hayo???mbona kuna watu wanaposti hapa kusifia walio nao???Ova