Wasichana: Jisafisheni miili yenu mnatia aibu

mi hayanuhusu pesa yako tu hata ukiwa na kitunguu swaumu sina tatizo
Ngoja niongeze harakati niongeze pesa ya kukuhonga hata Lexus au BMW x6 laba utanikubali maana nakuzimikiaga Sana sema basi tu jf unaweza tongoza kumbe ni mkeo dadaako au mwanao
 
ha haha kweli aisee ... tafuta kapesa ka wild truck uje unibebe
 
Kweli foleni za dar na msongamano wa magari sitaki upande boda unaweza vunjwa miguu ukipanda daladala utachelewa mixer kuja umelowa mijasho midume isiyokuwa na adabu ishakubambia kwa nyuma
 
ndiyo tatizo bora unipe langu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…