Jumanne ya juzi kuna kijana mmoja alipigwa sana na kupoteza uhai udsm hall 1 kwa kuitwa mwizi.
Uchunguzi uliofanyika ulibaini yule kaka hakuwa mwizi. Alikuwa boyfriend wa mwanadada mmoja ambapo inaonekana huyo dada alikula hela ya jamaa. Kabla ya kuitwa mwizi alionekana akizungumza kwa simu kwa muda mrefu aking'ang'ani 'kuja room'. Baada ya kufika kwa mdada huyo walivutana na mwisho wa siku alimpigia kelele za mwizi. Kama kawaida ya watanzania wakampiga mawe na matofali wakaua!
Mwaka 2008 hall 7 kilitokea kisa kama hicho. Mwanadada aligonganisha wapenzi room saa 7 usiku. Mmoja alikuwa mwanafunzi na mwingine mtu wa off campus with his cash. Mzozo ukaibuka, dada akamwitia mwizi yule mwanafunzi! What saved him from death was the identity card he carried that day