Duuh?Huu ubize alafu mavuno hafifu,eti sijasikia hicho kisa akati nipo hall 2,mihangaiko ya maisha inatufanya kukosa news..Sasa mkuu huyo Mshikaji amefariki?Nijuze tafadhali.
nilisikia yule mdada alifungwa. Ni kweli?Dah umenkumbusha mbali aise..yule dada alikuwa classmate wangu dah...
Hii habari sio ya kweli kwasababu mshkaj alikuwa mwizi kweli.na walimchukua kuanzia hal4 ambapo alikua anakimbilia majumbani kwa watu,akawa anadai yeye mwanafunzi,wakamwambia awaoneshe Id akaishia kuwaambia "idea ninayo!"!mpaka hapo watu wakajua kweli ni mwizi.i saw him myself wakati wanampitisha hal4!watu huwa wanazusha sometimes!he is nobody's boyfriend!

Umeona eeh!?Women! I wonder why men bother aisee!
And you guys are so proud of it huh?Vyuoni wezi wanabore kishenz!!jana kakoswa koswa mwingine alikuwa anataka kuiba laptop hal4!kama sio aliokolewa na auxiliary police sasa hivi ingekuwa habari nyingine!
Thats how students justify themselves whenever any suspect at campus is apprehended. Kama hana ID its not a justification that he was a thief. Kama alikuwa mwizi kamwibia nani? I have the report from the time he started talking to the girl, students asking his ID, the first attempt to beat him and all that. We umemwona akipitishwa hal 4 after people have started called him thief.
And you guys are so proud of it huh?
Ee Mungu uturehemu,
Simtetei mwizi wala siwatetei wachukua sheria mkononi. Cumpus kwenu si kuna AUX Police? Hilo tatizo la vibaka haliwezi kufanyiwa mkakati likatatulika? Taasisi kubwa kama UDSM?nobody is proud of it ila ungewahi kuona namna wanafunzi wa campus wanavyokatwa mapanga na kunyang'anywa their belongings sidhani kama ungekaa ukawatetea wezi!
nilisikia yule mdada alifungwa. Ni kweli?
Hivi yule mkaka wa IFM nae aliishia vipi?
mbona alikuwa ni mshkaji wakabinti kamoja cha block D. Hawa mabinti ni satanism