Wasichana mliochaguliwa Mtwara TC, natafuta Rafiki wa kimasomo

Abel james

Senior Member
Joined
Jun 12, 2014
Posts
103
Reaction score
8
Jaman mwenzenu ni mvulana na nimechaguliwa mtwara TC

Ni mgeni sana wa hayo mazingira, kiufupi nahitaji rafiki wa kike atakae kua kampani yangu kimasomo wakati wote ntakapokua chuoni, awe na uelewa na anaejiamini, naomba anitafute kupitia 0763175935.
 
jaman mwenzenu ni mvulana na nimechaguliwa mtwara tc ,na ni mgen sana wa hayo mazingira,kiufupi nahitaji rafiki wa kike atakae kua kampan yangu kimasomo wakat wote ntakapokua chuoni,awe na uelewa na anaejiamini,naomba anitafute kupitia 0763175935

Kwanini wasichana pekee??? Una agenda gani ya siri.... Wewe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…