[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mmoja tulivyomalizana nikamsindikiza stend nikamuonyesha daladala nikamwambia ok safari njema ile kugeuka nakuta bado ananikodolea macho ila nikavunga sielewi anataka nini, ila kimoyomoyo ile siku atakuwa alirusha bonge la tusi