Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
NI KAULI KATIKA JAMII inayoendelea kukumbatia mfumo DUME.
1.wengi bado wanaamini wasichana ni mbumbumbu darasani.
SI KWELI TENA WENGINE WANACHACHAFYA MIDUME KIBAO,primary,secondaryna hata chuo.
2.wengine wanaogopa changamoto ya mimba kuwa watakatisha masomo.KWA NINI UOGOPE WAKATI HUJUI KAMA ITATOKEA AMA LA?alafu na hapa utaratibu uangaliwe upya,mana hata wavulana wanatia mimba na kwa kuwa hawatembei na mimba zao basi wao hawaguswi na wanaendelea na masomo yao.KWA NINI MFUMO WA ELIMU HAUWAFUKUZI CHUO WENYE MIMBA ALAFU SEKONDARI na primary wanawatimua na mfumo unatambua kuwa ni halali kuwatimua-natambua hofu ya kuwapo mimba nyingi iwapo wataruhusu waendele na masomo.
3.kusomesha msichana ni kusomeshea jamaa,Nani amewaambia lazima aolewe?Nani kawaambia hawezi kuwasaidia akiolewa?KWANI MIDUME mingapi haisaidii kwao?
BOYS AND GIRLS SHOULD ALL BE SENT TO SCHOOL.