WASICHANA si wa kupelekwa SHULE,utapoteza PESA ZAKO.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,126
NI KAULI KATIKA JAMII inayoendelea kukumbatia mfumo DUME.
1.wengi bado wanaamini wasichana ni mbumbumbu darasani.
SI KWELI TENA WENGINE WANACHACHAFYA MIDUME KIBAO,primary,secondaryna hata chuo.
2.wengine wanaogopa changamoto ya mimba kuwa watakatisha masomo.KWA NINI UOGOPE WAKATI HUJUI KAMA ITATOKEA AMA LA?alafu na hapa utaratibu uangaliwe upya,mana hata wavulana wanatia mimba na kwa kuwa hawatembei na mimba zao basi wao hawaguswi na wanaendelea na masomo yao.KWA NINI MFUMO WA ELIMU HAUWAFUKUZI CHUO WENYE MIMBA ALAFU SEKONDARI na primary wanawatimua na mfumo unatambua kuwa ni halali kuwatimua-natambua hofu ya kuwapo mimba nyingi iwapo wataruhusu waendele na masomo.
3.kusomesha msichana ni kusomeshea jamaa,Nani amewaambia lazima aolewe?Nani kawaambia hawezi kuwasaidia akiolewa?KWANI MIDUME mingapi haisaidii kwao?
BOYS AND GIRLS SHOULD ALL BE SENT TO SCHOOL.
 
Hizo mila na desturi ni lazima jamii ichukue hatua ili kuzipinga.was na wav lazima wapate elimu
 
Cungi mkono mjadala sababu mawazo hayo yanapotosha jamii
Mwanamke ( MAMA)ndiye anayekaa muda mrefu na watoto xo watoto hujifunza kutoka kwa mama na watoto hao ndio taifa la kesho hivyo mama akielimika watoto nao wataelimika na mwisho taifa zima xo mimi cdhani kama kumuelimisha mwanamke ni kupoteza pesa nadhani unakuwa umeweka hazina kubwa itakayo saidia familia na taifa kwa ujumla.xo tuuondoe mtazamo hasi and remember dat "BEHIND EVERY MAN SUCCESS THERE IS A WOMAN BEHIND IT"
 
mleta maada kuwa specific and not general,ni jamii ya wa2 gan unayoizungumzia?tuambie kwa ushahidi thabiti,sio kuhukumu jamii zote km ulivofanya!mfano jamii yangu mbna siuoni huo unaosema mfumo dume?,dada ze2 wanapelekwa shule as usual!.Acha kupandikiza chuki ndugu,tatizo lenu wamama mnalikuza sana hl jambo
 
Mimi kwa hili nipo kinyume kidogo...
Kumpeleka mtoto wa kike shule ni sawa na kuzika pesa...
1.mwanamke aliumbwa kuwa dependant kwa mwanaume,mwanamme ndio atoje jasho then mwanamke azae...
2.mwanamke mwenye elimu ni mwiba kwenye ndoa yake,hivyo hupandikiza roho ya kiburi kwa watoto'ye....
3.pia kumsomesha binti ni sawa na kumsomesha jamaa'ke,
 
mama yako angebahatika kwenda shule bila shaka usingeileta hii mada hapa jukwaani
 
1.kwani tatizo liko wapi?Kama wewe unataka akutegemee,mwambie asitumie hela yake kuendesha familia ili utoe yako
2.mwimba kwa sababu hataki manyanyaso na wewe unataka awe mtiifu hata kwa ushenzii wako
3.huoni pia kumsomesha kijana ni sawa na kumsomeshea demu wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…