STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
''mimi nataka Mwanaume awe mtanashati, awe Na
Kazi yake ya Kueleweka, awe na Pesa, awe ana
gari,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa
Vingnevyo tupa Kulee,''
Madem wa aina hii utakuta wameishia.. Darasa la saba! hata Chuo Cha Unesi kimewashinda!!
wanadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Kutwa utakuta
wanachati facebook,whatsapp,instagram,twitter..
Pesa zimewashinda Kutafuta wanawazia zawenzao
ndo wawe Na Pesa ili wao waje kuzitumia Vizuri,
Mnakaa Kujidai Mnachagua Wanaume wakutembea nao wakati Nyie wenyewe vigezo Hamna...Hahaha!
Kweli Mnachekasha
-Kwa Niaba ya Wanaume
wenzangu Hatutaki wanawake wakutujazia choo tu..
kukaa kaa bila kazi baadhi Dada zangu. Nendeni
MKasome Kwanza halafu Mtafute hela ndo Mseme
Mnataka wanaume wa hivyo.... SHENZI