kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.

Hii biashara ipo sana mwenge universty kuna accessor mmoja hakupi marks mpka mkutane guest house kwanza kama we ni binti.
Na ukiwa dume inakuwaje?
wewe mkuu ndio unashangaa hilo komaa nao umalize chuo chako poa kabisa mkuu waambie wakipigishe wewe ufaudu maisha..kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
mmmmhhhhh kuna uzi mwanajf akilalamika demu wake kachukuliwa na lecturer..Rushwa ya ngono vyuo vinavyoongoza ni:
1.UDSM
2.saut
3. UDOM
4.TUMAIN
5MZUMBE
6TEKU
uliwe 0717.....
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
sijaona rushwa hapo mkuu... toa uthibitisho chanya unaoonesha rushwa ya ngono!
mtu kama alipewa concetration area akajisomee haimaanishi kwamba alitoa ngono...
hii kitu sio rahisi kuithibitisha kwa macho ya nyama kwa sababu mapenzi yanafanywa baina ya watu wawili tena wakiwa sehemu waijuayo wao wasionwe...
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
Bora umemwambia ukweli kuna watu ni mabingwa wa kuzusha mambo bila kuwa na ukweli wowote