Thanks Unaakili sana!!Si wote kama ambavyo si wanaume wote bongo ni waaminifu....Endelea kutafuta mke, kwenye hili omba msaada wa Mungu na usiwe na haraka...pia ukiona mwanamke mara azime simu,mara akundanganye ujue tu hakuthamini/hakutaji kivile....songa mbele na mchakato!
Thanks Unaakili sana!!
Wasichana wa Kenya, Uganda, Zambia una maana ya wasichana wa Nairobi, Kampala na Lusaka? Na, je Bongo umemaanisha Dar es Salaam au Tanzania? Kama unatafuta mke miongoni mwa wasichana unaokutana nao kwenye beaches na kumbi za starehe tegemea hayo hata kama utakutana naye Namanyere.
Una maanisha wasichana tu au wanawake wote wa bongo?Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?
1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.
Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?
Lbada kwa vile bado ni watoto.wakikua wataacha.Na umefanya research ya kufikia conclusion ya 50%?????????umetumia methodology gani?Ninamaana wasichana Zaidi ya 50% ni waongo
Nipe Contact basi!!!
1. Nikisema wasichana mara zote huwa ni wanawake ambao hawajaolewa.Lbada kwa vile bado ni watoto.wakikua wataacha.Na umefanya research ya kufikia conclusion ya 50%?????????umetumia methodology gani?
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?
1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.
Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?