Ok kunanjia nyingi sana nimetumia ila chache tu nitakuelezame naomba uniambie umepimaje uaminifu wa gels wa kenya na uganda na tanzania?
Thanks a lot!!!!Inaonekana na wewe hujatulia hata kidogo........yaani kwenye nchi zote hizo umepitia. Sasa kama huko waaminifu kwanini usioe huko??!! Maana mke sio lazima awe MTZ.
Ushauri: kwa jinsi unavyotafuta sidhani kama utafanikiwa. Tulia, mshirikishe Mungu kwenye utafutaji wako utapata waaminifu. Lakini kumbuka kama wewe sio mwaaminifu, usitegemee kumpata mwaminifu. Lazima upate anayefanana na wewe. all the best kwenye utafutaji wako.
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?
1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.
Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?
Si wote kama ambavyo si wanaume wote bongo ni waaminifu....Endelea kutafuta mke, kwenye hili omba msaada wa Mungu na usiwe na haraka...pia ukiona mwanamke mara azime simu,mara akundanganye ujue tu hakuthamini/hakutaji kivile....songa mbele na mchakato!
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?
jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, kenya, uganda, zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?
1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.
Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?
kwa nini uhangaike na wabongo wasiowaaminifu?kaoe uganda,infact tafuta mnyankole they are so faithful
smile naomba nikuwezeshe........:eyebrows:wanaume ndo wametufanya tusiwe waaminifu mkuu.
kwa usalama wetu inabidi tukae mguu pande mguu sawa
uwezi kujiachia kwa mwanaume wa bongo
wanawake tukiwezeshwa kumbuka tunaweza