ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha lo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hii naona ni kwa ajili ya vodka/valuu za vuguvugu
Nimeiuza dear ruksa nitakuachia wote wa hivi
hahahahahah lol asante sana
mmmmhhh kwa kweli ..
si dhani ka ntarusha thread ka hiyo lakini ..
mmmhh
afro nakumis sweety niko mlimani na kimey,,,nimeshuka chap kukuomba umuongezee fainest hizo gift hapo juu maana anafanya kazi nzuri sana ya kuscan kila kirusi kinachavamia chatrum,,,wel do it for me babe,,dena ameongeza kasi ya kutoa senks,,,hope umeona.
duuuuhh sijajuaga ka jamaa ni mtaalum ka weye hahahahahahaha lol
ahsante sana kwa kuniuzia hio kesi mzazi mwenzangu......!
Wallet popote ulipo just come and try me.....!i would prefer a public battle
mkumbushe kimey kwamba maty asema usisahau ulanzi hasa nikiiona avatar ya teamo ndo kabisa udenda unanidondoka. Haya mabia yanatutoa vitambi bana nataka nipumzike kwa kunywa ulanzi krisimasi
mama mi nakushauri tu uolewe HARAKA IWEZEKANAVYO ili urudi tena kutafuta infii.....!(hapo ndo hata sisi tutaingia kwenye ushindani wa hiyo zabuni):A S crown-1::A S crown-1:
ha ha ha ha huyo bana muache tu
mama habari yako bana!
UPO WEWE?
sasa usikose tar 26/12/2010 nitakuwa nabatiza shangazi yako pale nyumbani.sherehe itafanyikia kwa baba sunday-pale panauzwa mbege 24/7
malaika yuko okay kabisa...(sema ndo hivo bado sijamFABricate)
POLE NA BARIDI!
Lamprophony
mama habari yako bana!
UPO WEWE?
sasa usikose tar 26/12/2010 nitakuwa nabatiza shangazi yako pale nyumbani.sherehe itafanyikia kwa baba sunday-pale panauzwa mbege 24/7
ha ha ha!haya bwana mie ndo mwaliko sipati ..
hmna neno nitume address kwenye PM nitume ka kitu na mie nijisie vizuri..
na ntajialika mwenye...