Wasichana wa JF ambao hamjaolewa


Nashukuru sana lakini mie wangu sijaachana nae nimewaona wanaofanya hivyo ndo maana nikasema
 
utafiti wako ni batili na hitimisho lako ni lakupotosha.rudia tena huu utafiti na ukishindwa omba msaada kabla ya kufanya conclusion ya namna hii

Sitarudia na ndio conclusion yangu hiyo. Kama unaona thread haifai ipotezee si lazima uchangie
 

Mpendwa Dena,

Asante kwa uchunguzi wako...

Lakini je, ulibahatika kujua sababu za hawa wanaume 25 kuachana na wake zao?, je zote zinafanana?

Na je, kuna sababu nyingine tofauti na hizo ulizoambiwa zinazoweza kupelekea Mwanaume kuachana na Mke wake?

Naomba ufafanuzi tafadhali
 


Sasa nimekuelewa DA,hapo kwenye RED!!!!Ni kwamba mwanamke asikubali kuolewa na bwana alieacha mke wake, LAKINI HATA HIVYO ANAWEZA KUWA MPANGO WA NJE WA HUYO BWANA!!!!
 
Dena umefanya makosa kusema wasikubaliwe kabisa!Ungesema watu wachunguze na wawe waangalifu hapo sawa..ila kumkatalia mtu bila kuangalia yaliyosababisha inakua hatuwatendei haki kaka zetu!Kuna wanawake ni mwisho wa kipimo cha uvumilivu..nimeona mwenyewe!Alafu mtu wangu wa karibu kaolewa na ndoa ina miaka 12...mume hana tatizo,mke ndo alishindikana!
 

Sababu karibuni zote zinafanana kabisa mwingine na nyingi ni za mapenzi tu na nyingine jaamaa anakuwa mariooooooooooo
 

Lizzy utakuwa mwangalifu sana lakini ukiingia ndani makucha yanatokeza utafanyaje??????????????
 
It is very wrong! love is a soft game and very subjective in nature. whatever happened to you might not neccesary happen to the other. Your advice might end up into confussion and denying others previlages. Waache waende ili nao wasimulie, hakika siyo wote watakao jutia kama unavyofikiri
 

Prevention is better than...........................
 

Nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi.. :teeth: kuna wanaofaa kwa disco, beach, shows. Ukimuweka ndani umekwisha
 
Wewe ukiona "wa kazi gani" mwenzio anasema nitampata "lini".
 

Hivi humu mnamzungumzia mzee madiba au?
 
sasa nimekuelewa da,hapo kwenye red!!!!ni kwamba mwanamke asikubali kuolewa na bwana alieacha mke wake, lakini hata hivyo anaweza kuwa mpango wa nje wa huyo bwana!!!!

ama hakika wewe umeiva kwenye somo la jana......chama kinakuangalizia nafasi ya uongozi
 
Sababu karibuni zote zinafanana kabisa mwingine na nyingi ni za mapenzi tu na nyingine jaamaa anakuwa mariooooooooooo


umenikumbusha mbali hivi marioooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…