Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

Ni kweli si vema kuoa au kuolewa na mtu aliye acha na kuachwa,maana huwezi kujua ni kwani nini aliachwa au aliacha ni vema kama kuna ulazima ni vema kufanya uchunguzi wa kina,maana si wote walioacha wanamatatizo,ila la msingi hapa ni kwanini muachane?kwa nini msivumiliane?nijuavyo mkiwa mnapendana kweli kuachana ni zero,
 
Hapo kwenye red big up. Hilo ndo haswa la msingi nalozungumza mimi kwanini muachane?????
 
Hapo kwenye red big up. Hilo ndo haswa la msingi nalozungumza mimi kwanini muachane?????

Jamani hivi tunaelewa tunachoandika humu? Au tunajifurahisha (Dena sayta?) hivi umeshawahi kuona ndoa ndoano? Waulizeni yaliyowakuta watu.
 
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!

Usiwadanganye wenzio wewe. Wewe hujawahi kutemwa/kumtema BF wako? lazima kuna sababu ilipelekea hilo kufanyika.
 
Jamani hivi tunaelewa tunachoandika humu? Au tunajifurahisha (Dena sayta?) hivi umeshawahi kuona ndoa ndoano? Waulizeni yaliyowakuta watu.

Sayu aidomaa??? Hatujifurashi bwana ndoa ndoana ndo hiyo inatakiwa kuvumiliwa na sio kuachana
 
Kwasababu mmeshindwana!Ya nini kung'ang'ania kisicho riziki?

sizungumzii kung'ang'aniana nazungumzia sababu za kuwafikisha kuachana na huyu na kutaka mwingine
 
Sizungumzii BF.GF nazungumzia mke tena wa ndoa

Kama mtu alimuacha mkewe kwa sababu ''halali'' kabisa (uzinzi etc) inakuwaje sasa ati wasichana wasikubali kuolewa nae??

BTW..umeolewa kwa ndoa?
 
Kama mtu alimuacha mkewe kwa sababu ''halali'' kabisa (uzinzi etc) inakuwaje sasa ati wasichana wasikubali kuolewa nae??

BTW..umeolewa kwa ndoa?

Haswa na watoto wanne kwa ndoa ya katoliki ST. Joseph
 
nimeupenda utafiti wako nadhani hauwezi fanana na ule wa Redet au Synovate kwa maana ya sampuli
 
Sizungumzii BF.GF nazungumzia mke tena wa ndoa

ok,kama huwezi olewa na bwana alieacha mke wake, basi kubali tu kuwa utakuwa mpango wa nje kwa namna au gharama yeyote ile!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…