Wasichana wa Kenya wasifia wasichana wa Tanzania

Dada umetuchambua vyema
Tz ladies wakarimu ila usiwavuruge kwa makusudi kuzungumza tulijaliwa na muumba
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Dada umetuchambua vyema
Tz ladies wakarimu ila usiwavuruge kwa makusudi kuzungumza tulijaliwa na muumba
Kweli, yaani nyinyi wanawake wetu wa huku Tz,mnatukosha Sana,alafu,wamesahau kipengele kimoja hapo,wengi mnajua kucheza zile mechi zetu vizuri kuliko wakenya.
 
Mkuu mimi mwenyewe nina marafiki zangu wanawake wa Kikenya Nchi mbali mbali duniani tunaheshimiana kama majirani ni wazuri sana. Hivyo kusema wanawake wa Kenya wana sura ngumu si kweli hata kidogo.

Muambie huyo ndugu yako kuwa Diamond, Ben Pol na Ali Kiba sio wazimu kwa kuchumbia wasichana wa Kikenya.
 
Mkuu mimi mwenyewe nina marafiki zangu wanawake wa Kikenya Nchi mbali mbali duniani tunaheshimiana kama majirani ni wazuri sana. Hivyo kusema wanawake wa Kenya wana sura ngumu si kweli hata kidogo.
Huyo dadazake na mamake ndio Wana sura ngumu
 
Back
Top Bottom