Wasichana wa Kenya wasifia wasichana wa Tanzania

Dada umetuchambua vyema
Tz ladies wakarimu ila usiwavuruge kwa makusudi kuzungumza tulijaliwa na muumba
 
Reactions: BAK
Dada umetuchambua vyema
Tz ladies wakarimu ila usiwavuruge kwa makusudi kuzungumza tulijaliwa na muumba
Kweli, yaani nyinyi wanawake wetu wa huku Tz,mnatukosha Sana,alafu,wamesahau kipengele kimoja hapo,wengi mnajua kucheza zile mechi zetu vizuri kuliko wakenya.
 
Kweli, yaani nyinyi wanawake wetu wa huku Tz,mnatukosha Sana,alafu,wamesahau kipengele kimoja hapo,wengi mnajua kucheza zile mechi zetu vizuri kuliko wakenya.
Usifanye nije huko kucheza kambumbu
 
Mkuu mimi mwenyewe nina marafiki zangu wanawake wa Kikenya Nchi mbali mbali duniani tunaheshimiana kama majirani ni wazuri sana. Hivyo kusema wanawake wa Kenya wana sura ngumu si kweli hata kidogo.

Muambie huyo ndugu yako kuwa Diamond, Ben Pol na Ali Kiba sio wazimu kwa kuchumbia wasichana wa Kikenya.
 
Mkuu mimi mwenyewe nina marafiki zangu wanawake wa Kikenya Nchi mbali mbali duniani tunaheshimiana kama majirani ni wazuri sana. Hivyo kusema wanawake wa Kenya wana sura ngumu si kweli hata kidogo.
Huyo dadazake na mamake ndio Wana sura ngumu
 
Wasije watatuletea Corona

Sura za wakenya ni ngumu sana kutambua yupi Mwanaume na yupi mwanamke, wote wamefanana na Raila Odinga
Sema dadazako ndio Wana sura za Magufuli 😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…